John 7:26

26 aMbona yuko hapa anazungumza hadharani na wala hawamwambii neno lolote? Je, inawezekana viongozi wanafahamu kuwa huyu ndiye Al-Masihi?
Al-Masihi maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta.
Copyright information for SwhKC